Usalama Mlima Kilimanjaro

Usalama wako ndio jambo letu kuu na tunaupa kipaumbele zaidi ili kuhakikisha usalama wako kwenye Mlima Kilimanjaro. Chini ni njia au hatua za kuchukua kwenye matukio ya dharura au ajali ambazo zitakuhakikishia usalama wako kwenye Mlima Kilimanjaro.