Ilani ya Arusha na Historia ya Hifadhi za Taifa Tanzania

Hii ni hotuba maarufu iliyosemwa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere yapata miaka sitini (60) iliyopita, ilibainisha sehemu muhimu ya wanyamapori hapa nchini. Hotuba hiyo iliweka msingi wa uhifadhi katika Tanzania baada ya uhuru na kufanya Historia ya Hifadhi za Taifa za Tanzania.